Ni kweli hakuna faragha(privacy) kwenye WhatsApp?

faster

Member
Jan 3, 2016
93
98
Ni matumaini yangu kuwa wote mko na afya njema. Nimekua nikiona mitandaoni kuwa kuna baadhi ya watu wamefikishwa mahakamani kwa sababu ya kusambaza kitu kwa njia ya Watsapp , hii ina maana private messages zetu zinasomwa pasi na heshima ya uhuru binafsi?
 
Tatizo ni yule unayemtumia anaweza kukuchoma, tatizo lengine kubwa ni kuwa WhatsApp inaonyesha namba yako hadi kwenye groups hivyo hakuna "anonymity". Msg zenyewe hazisomeki zikiwa hewani hata na WhatsApp/FB wenyewe.
 
Back
Top Bottom