Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,118
- 4,765
Siyo siri, Kwa sifa hizi Nokia atatake over easily katika soko la simu za mkononi, Hususan Africa,Tanzania ikiwemo. TECNO, ITEL & Co wajiangalie na simu zao ambazo ni overpriced huku zikiwa na sifa hafifu zisizoendana na uhalisia wa bei wanazouzia. Model za nokia 6, nokia 5, na nokia 3 zikiwa zimetengenezwa katika kasha la bati (Aluminium), linawahakikishia watanzania walio wengi uhakika wa uimara wa simu hizi ukizingatia tulio wengi huwa tunapenda kitu imara mithili ya chuma cha pua.
Pia zikiwa na sifa zilizotukuka za finger print scanner, E-compass, Dolby sound, Corning gorilla glass, HD Display unajipatia simu yenye quality hizo kwa just 229 Euro kwa nokia 6, 189 USD kwa nokia 5 na 139 USD kwa nokia 3. kitu ambacho kinaipa uhai kampuni ya nokia Kurudi kwa kasi katika ushindani wa kuuza simu za mkononi dhidi ya wapinzani wake katika bei nafuu. Kwani katika bei hizi, hakuna kampuni iliyotengeneza simu zenye sifa hizo na material hayo so far mpaka sasa. Amewapiku mpaka Xiaomi ambao ndo walikuwa wanatengeneza atleast simu affordable.
Nokia 3, Kwa Euro 139
Nokia 5 kwa Euro 189
Nokia 6 Kwa euro 229
Pia kutokana na ubovu wa mitandao hasa kwa africa, wamekuja na solution ya simu zenye line 2 kwa mazingira ya kiafrika. Nokia siyo tuu ni tishio kwa wakina TECNO, Bali pia ni tishio kwa wakina Samsung na Iphone
matoleo yote hayo yametangazwa kuwepo sokoni katika robo ya pili ya mwaka 2017. Hii ina maana tuanze kutarajia hizi simu muda wowote kuanzia March 1 2017 mpaka May 30 2017