concious mind
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 1,003
- 612
Habari wakuu, natumia tecno w3 LTE, mtandao halotel na airtel, kuna baadhi ya sms nikitumiwa hazifiki ni kama kwa wiki mbili hivi na kwa yule aliyetuma zinaonyesha zipo delivered.
Nahisi shida ni simu coz nilipoanza kuitumia hii ndo majanga yakaanza, msaada wakuu
Nahisi shida ni simu coz nilipoanza kuitumia hii ndo majanga yakaanza, msaada wakuu