iyo option wameitoa wameeka zingne pamoja na email yao nadhan ni ya domain yao mkuu ' hivyo option ya recovery inanilazimu nitume code kwenye email yao apo ndo inapokua shidat mkuuHebu jaribu kama uliweka namba yako ya simu jaribu ku recovery kwa kutumia hiyo namba.
Sasa kama kasema recovery option zimebadilishwa ina maana hata namba itakuwa imebadilishwa kama aliweka...Hebu jaribu kama uliweka namba yako ya simu jaribu ku recovery kwa kutumia hiyo namba.
Kweli mkuu hapo imegonga dead end asee hakuna namna.Sasa kama kasema recovery option zimebadilishwa ina maana hata namba itakuwa imebadilishwa kama aliweka...
Asante wakuu nimefanikisha kuzirudisha tena mvarikiwe nyoteFuata hatua kama zilivyoelezwa hapa How To Recover Your Hacked Google/Gmail Account & Password In 5 Steps
ukifanikiwa kuipata au utakapofungua account mpya hakikisha unawasha 2-step authentication hii inamzuia mtu yoyote kuweza kulogin bila ya kuwa na simu yako.