Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,006
- 306
jamani nahita nunua simu aina ya samsung naombeni kuuliza samsung ipi nzuri
S7 edge unlocked international versionjamani nahita nunua simu aina ya samsung naombeni kuuliza samsung ipi nzuri
Inakwenda kwa bei gani hiyo kitu mkuuS7 edge unlocked international version
nimegaili hzo bei pia hazina lolote androd nta enjoy app kibao kuliko kuwa na IphoneMkuu umeshaghaili tena kununua iphone
root device yako tafuta app ya kupunguza GHz ya processor itaacha kuchemkaNinatumia s4 ila tatizo ni moja tu zinachemka sana hadi mikono inapata mishare
Hizo process ndio sizifahmuroot device yako tafuta app ya kupunguza GHz ya processor itaacha kuchemka
naomba maelekezo mkuu..jinsi ya kuroot na kupunguza hizo ghz.root device yako tafuta app ya kupunguza GHz ya processor itaacha kuchemka
ku root inakuwezesha ku install iyo app ya kuweza ku modify clock speed ya simu yako...naomba maelekezo mkuu..jinsi ya kuroot na kupunguza hizo ghz.
je root inafaida zaid ya hio kuchemsha
Nadhani uko sawa kabisa. Hizi S ni shida tupu. Nina note S7, ina matatizo makubwa. kwanza picha siyo sharp, resolution very poor, leo ime-stack not responding to any operation , in built in battery, hivyo huwezi kuzima/kutoa battery na uka restart mpaka usubiri charge iishe ijizime, hopeless edition! Sodayu nifanye kwa ku stack hivyo!Mimi ni mdau mkubwa wa kutumia Samsung nimetumia Galaxy Ace 1 na 2 pia S1,S2,S3,S4,S5 na S6 kwa Samsung galaxy note nimetumia note 1, 2, 3, 4, na note edge kasoro note 5, note 7 na S7 ila kati ya zote nilizowahi zitumia nimejikuta nimenasa kwenye Samsung galaxy note 4 na note edge. So nakushauri nunua Samsung Galaxy note kuanzia note 3 kwenda juu hutojutia pesa yako. Kwanza zinakaa na chaji kuliko galaxy S pia hazipati hojo ukilinganisha na matoleo ya galaxy S
Hivi kuna note s7 kweli duniani ? Kama ni note 7 si zilifungiwa sababu zilikua zinalipuka au !!!!!Nadhani uko sawa kabisa. Hizi S ni shida tupu. Nina note S7, ina matatizo makubwa. kwanza picha siyo sharp, resolution very poor, leo ime-stack not responding to any operation , in built in battery, hivyo huwezi kuzima/kutoa battery na uka restart mpaka usubiri charge iishe ijizime, hopeless edition! Sodayu nifanye kwa ku stack hivyo!
You might be right ni tablet ......Hivi kuna note s7 kweli duniani ? Kama ni note 7 si zilifungiwa sababu zilikua zinalipuka au !!!!!
Nina s6 edge imetulia tu sana mbona na uzuri wa samsung ikiharibika vifaa vipo hata ukitaka kubadili sucket nzima unaipata