Habari zenu wakuu, nimekuwa nikijaribu kuroot simu yangu aina ya Tecno w Marshmallow lakini imekataa. Nimeambiwa njia pekee ya kuroot ni kwa kutumia Custom Recovery. Naomba mnijuze Custom Recovery ni nini na inatumikaje kuroot na ina madhara hani?
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.