LAPTOP YANGU IMEKUWA NZITO

mkalisniper

Member
Feb 18, 2017
20
5
Jamani nahitaji msaada wenu
Nina laptop yangu aina ya Dell
347b12c9c41b81f12196fd0d27d04c6a.jpg
4bd620f507c6794909f377c48a9db3bd.jpg

Nilikuwa Naitumia vizuri lakini juzi imeanza tatizo la Kuwa nzito na kuchemka nikiwa naangalia movie inakaa mda Ikiwa Poa baadae inanza kuwa nzito hata movie unayo Angalia inakuwa slow motion au mda mwingine inajizima nifanyeje Jamani
 
Ukiwa unabadili OS hakikisha unatengeneza partition hata 2,halafu ile unayo iwekea OS ipe ukubwa kadri ya mahitaji yako.
>Ukimaliza hakikisha unakwepa kuweka vitu vingi kwenye partition yenye OS, maana ikijaa pia anapelekea kuwa slow.
>ukiwa na antivirus jitahid iwe ya kwanza kuiweka kabla ya program nyingine yeyote, ili isafishe program utakazo ziweka zenye virus.
> ukiona bado inakuwa nzito, basi hakikisha unapima mizigo yako kabla hujaibebesha pc yako, ili kudhibiti uzito
 
laptop ikiwa nzito ingia task manager bonyeza ctrl na alt na delete kwa pamoja utaingia.

ukiwa task.manager nenda advanced halafu utaona jinsi resource zinavyokwenda kama una windows za zamani kama 7 na kushuka ingia resource monitor ndio utaona vizuri ila kama ni win 8 au 10 hapo hapo utaona jinsi inavyokula HDD, ram na cpu.

vitu kama HDD na ram kama vimejaa unaweza kuvi upgrade, kama kuna program inaoleta huo uzito unaweza ukaitoa, nk
 
Ningekushauri ufuate hatua zifuatazo
1.hakikisha partition iliyokaa os haijai mpaka ikawa nyekundu.
2.fanya disk defragmentatiin
3.disk clean up
4.punguza application ambazo hutumii na ambazo zinaamka na pc.
5.tafuta sehem yenye blower waipulize pc yako iondoke vumbi
6.Weka pc juu ya kitu ambacho hakizib zile nafasi za kutolea upepo kwenye pc.
 
laptop ikiwa nzito ingia task manager bonyeza ctrl na alt na delete kwa pamoja utaingia.

ukiwa task.manager nenda advanced halafu utaona jinsi resource zinavyokwenda kama una windows za zamani kama 7 na kushuka ingia resource monitor ndio utaona vizuri ila kama ni win 8 au 10 hapo hapo utaona jinsi inavyokula HDD, ram na cpu.

vitu kama HDD na ram kama vimejaa unaweza kuvi upgrade, kama kuna program inaoleta huo uzito unaweza ukaitoa, nk
20170228_091716.jpg
....mkuu yangu mimi ina onyesha kama hivo..nikiwasha tu pc inakuwa nzito kidogo na process zinaenda taratibu mpaka ikae sawa ni unasubiri..pia wakati wa kuzima ina kuwa ina stuck kwanza then ndo inazima...
Processor ni intel i7 ya 2nd gen na quad
Ram 8gb
2gb amd graphic
Hdd 1tb..
Je nini inaweza kuwa tatizo?
 
View attachment 476446....mkuu yangu mimi ina onyesha kama hivo..nikiwasha tu pc inakuwa nzito kidogo na process zinaenda taratibu mpaka ikae sawa ni unasubiri..pia wakati wa kuzima ina kuwa ina stuck kwanza then ndo inazima...
Processor ni intel i7 ya 2nd gen na quad
Ram 8gb
2gb amd graphic
Hdd 1tb..
Je nini inaweza kuwa tatizo?
hard disk ipo slow mkuu, si unaona inatumika 99% wakati ram na cpu zinateleza tu.

click hapo kwenye disk zitajisort app zote zinazokula sana bandwidth ya hard disk zitatokezea.

pia kama laptop yako ina slot mbili za hdd eka ssd itasaidia sana.
 
Sasa chief nimeangalia naona ni window process ndo zinakula sana hyo space...Na suala la ssd sijajua compatibility na nimeona kama ssd ni gharama kuliko hdd
 
Sasa chief nimeangalia naona ni window process ndo zinakula sana hyo space...Na suala la ssd sijajua compatibility na nimeona kama ssd ni gharama kuliko hdd
ndio ni gharama ila kama una slot mbili ssd ya 128gb inatosha kueka os na program muhimu na hio 1tb utaeka mambo mengine.

jaribu kuibenchmark hio HDD yako ina mbps ngapi? jaribu hata kupaste file kubwa utaona.
 
Back
Top Bottom