Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,006
- 306
Hivi kwanini wanao fanya biashara mitandaoni (ONLINE BUSNESS) za simu unaweza ukauliza simu fulani ipo na ukaambiwa ipo pia anakupigia na picha kabisa ya simu unayo ihitaji cha ajabu ime number anaificha kwa kidole hivi sijajuaga kwanini wanafanyaga vile na mtu akiiona itakua kosa? naomba kufahamu