Karot JF-Expert Member Mar 6, 2017 1,159 1,312 Mar 6, 2017 #1 Wakuu habari zenu niko na sim yangu hata kama nimei lock ila, ukiiwasha ipo sehemu ya kupiga picha(camera). Hivi tatizo inakuaje???
Wakuu habari zenu niko na sim yangu hata kama nimei lock ila, ukiiwasha ipo sehemu ya kupiga picha(camera). Hivi tatizo inakuaje???
KING 360 JF-Expert Member Jun 30, 2016 3,002 5,191 Mar 6, 2017 #2 Ukitaka Ku unlock shusha chini usislide kwenda pembeni