Marco Mng'ong'o
Member
- Jul 11, 2015
- 12
- 4
Wakuu je naweza kufanya nn kuinstall older version ya whatsapp kwan nilionayo inaleta mapicha picha tu.
Asante
Asante
Mkuu lazima ukubali mabadiliko aiseee, huwezi kurudi maana kama ulizoea kuchungulia status za watu ndio imetoka aiseeWakuu je naweza kufanya nn kuinstall older version ya whatsapp kwan nilionayo inaleta mapicha picha tu.
Asante
Asante sana mdau ...nimefanikiwa ..nilichogundua sio mm tu sijapenda update za new whatsappBonyeza hapa kaka >>> HOW TO GET OLD WHATSAPP STATUS FEATURE ON WHATSAPP ON ANDROID | Riyadi Bhai kisha lete mrejesho hapa old is gold
Hata mimi sina mood kabisa kuingia whatsaapAsante sana mdau ...nimefanikiwa ..nilichogundua sio mm tu sijapenda update za new whatsapp
Asante sana mkuuBonyeza hapa kaka >>> HOW TO GET OLD WHATSAPP STATUS FEATURE ON WHATSAPP ON ANDROID | Riyadi Bhai kisha lete mrejesho hapa old is gold
Natumia Huawei Inanikatalia mkuu msaada plzBonyeza hapa kaka >>> HOW TO GET OLD WHATSAPP STATUS FEATURE ON WHATSAPP ON ANDROID | Riyadi Bhai kisha lete mrejesho hapa old is gold
mimi pia imeni-INSTALL hiyo ya zamani mpya majanga tupuAsante sana mdau ...nimefanikiwa ..nilichogundua sio mm tu sijapenda update za new whatsapp
fuata maelekezo vema kwenye link hapo juu maana kwangu imekubaliNatumia Huawei Inanikatalia mkuu msaada plz
Nimefuata ila kuna sehem Inaniambia nikiaccept na risk vitu vyangu kupotea so nikaogopafuata maelekezo vema kwenye link hapo juu maana kwangu imekubali
Bonyeza hapa kaka >>> HOW TO GET OLD WHATSAPP STATUS FEATURE ON WHATSAPP ON ANDROID | Riyadi Bhai kisha lete mrejesho hapa old is gold
futa hiyo whatsapp yako mpya kisha install hii uliyopakuwa hapo kisha lete mrejeshondicho ninachokutana nacho mie![]()
bonyeza hiyo setting kisha nenda security weka tiki sehemu iliyoandikwa unknown sourcesView attachment 476935View attachment 476936 HIKI NDICHO nachokutana nacho