S7 ni ya kampuni gani?Tablet yangu s7 haiwaki, ilianza kwa ku stack. In built in battery hivyo si rahisi kutoa battery na kuiwasha upya. Msaada nifanyeje
SAMSUNG ..samsung tablet s7S7 ni ya kampuni gani?
Umejaribu kushikilia hiyo button ya power kwa muda kama sekunde 20 bila kuachia?SAMSUNG ..samsung tablet s7