Msaada: Screen ya sim aina ya LG NEXUS 5

Ishaselo

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
329
336
Wakuu habari zenu. Ninatumia sim tajwa hapo, bahati mbaya niliidondosha na kuvunjika kioo .Hii sim nilipewa na ndg yangu toka US. Je naweza pata hiyo screen au ndio basi tena.
Nawakilisha.
 
Imepasuka glass ya juu tu au na digitizer? Bila shaka itakuwa unataka kuweka complete glass+digitizer. Kuna mafundi Kariakoo unaweza kuulizia zaidi kwani location ya fundi nayemjua siijui kwa sasa. Njia nyingine ni kununua mwenyewe ebay au Amazon halafu ubadilishe (kama unaweza) au upeleke kwa fundi akusaidie. Bei yake itakuwa kwenye dola za kimarekani 25 mpaka 30 nafikiri.
Ona kwenye hii link Google Nexus 5 LG D820 D821 LCD Display + Touch Glass Digitizer Screen Assembly | eBay
 
Imepasuka glass ya juu tu mkuu na ndio hii naitumia, ila imepasuka sana hadi vipande vya glass vimemeguka.
 
Back
Top Bottom