Heri wakuu!?
Nina tatizo moja ambalo naomba msaada wendu. Kuna account ya wife ya facebook naona inachezewa. Nimekuwa nikiona messages kama anajibizana na mtu,nikamuonya akadai si yeye alieandika. Nikabadilisha password mwenyewe bila kumuhusisha, akapata sms kuwa password yake imebadilishwa,nikaconfirm kuwa nimefanya mimi. Baada ya siku 3,zile messages zikaanza tena.Nikaingia kwa password niliyoweka bila yeye kuijua,nikakuta messages kama amechat na mtu wanajibizana,huku password haijui na imeonekana kuna jaribio la kuireset. Baadae nikablock mtu aliyekuwa ana post vitu vya ajabu ajabu. Mda si mrefu,nikaona account mpya kwa majina yake yakiwa yamegeuzwa inaomba friendship kwa hii iliyobadilishiwa password. kwa kifupi,inaonekana kuna mtu yuko nyuma ya hili. Je,kuna njia ya kutrack wapi kitendo hiki kinafanyika(simu gani,au computer gani,iko wapi, na kama kuna uwezekano wa kumpata anayejihusisha na hilo)?
Naombeni msaada wenu