Facebook inanisumbua

Simu yako haiendani na hiyo version ya messanger!!
Uninstall then install nyingine!!
 
Nime update facebook messanger App lakini kila nikitaka kuingia lazima simu izime halafu ijiwashe (restart), halafu naletewa ujumbe huu: ALL LOG TOOLS ARE STOPPED! WOULD YOU LIKE TO START ALL LOG TOOLS. CONCEL/OK
nikibonyeza concel naweza endelea, nikiponyeza OK naoma inaanza kuhesabu na space kwenye simu inapungua sana kwa hiyo na conceal na tatizo bado lipo.

Kwa wanaojua tatizo nifanyeje?
 
Asa
Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe...

Ya fesibuku ulizaneni hukohuko fesibuku...

Hapa panaitwa Jamii Forums.
Asante kwa muda wako, ila Facebook kwangu si kwa ajili ya chitchat, nimejiunga na makundi ya elimu, mashirika ya habari yote ya nyumbani na kimataifa n.k.
Nahisi kupungukiwa kwa namna inavyosumbua.
Nimejaribu kuitoa na ku download upya lakini wapi, nimetengeneza account tofauti bado tatizo hilo lipo, nasubiri mtaalam aje kuokoa jahazi.
 
Pole kwa majanga... ngoja wataalam waje kukusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom