Msaada

CHURADUME

Senior Member
Jul 18, 2016
141
124
Kuna Simu kila wakati inaandika hivi sijui tatizo ninini kwa maana nime jaribu kui restore lakini ime goma mwenye kujua anifahamishe. Nitangulize heshima kwenu
cc4fe4ebaa85d4c1534e92911a09825f.jpg
 
nenda setting halafu security halafu device administrator halafu angalia kama kuna 360 security then itoe, ikiwezekana un install na hio app
 
Back
Top Bottom