Utumiaji wa Automatic Computer Aided Design (AutoCAD)

Jamani wale Engineering Student tukutane Hapa na kujadili kuhusu Matumizi ya AutoCAD na pia kama wewe tayari ushajifunza na unajua pia tunahitaji msaada wako...Ahsanteni

TheMason!
Kipi unachohitaji kufahamishwa mkuu?
 
Unataka kujua matumizi ya AutoCAD au unataka kuijua AutoCAD?
 
Back
Top Bottom