Msaada wa haraka unaitajika jinsi ya kuroot simu

mamba1

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
466
248
Naomba mnisaidie nini maana phone rooting pia naomba msaada jinc ya ku root sim zangu za halotel, Samsung galaxy j1 na samsung GT S6802
 
Hakuna haja ya kuroot samsung..acha tecno waroot..weww unataka kubadili nn??roms au font au themes..sio lazma ufanye kula kitu kweny cm vingne acha
 
Simu yeyote unaweza kuroot haijalishi ni simu gani. Kilichopo mwelekeze ni kwa njia gani atumie ili simu yake iwe sawa
 
Haya haina shida mkuu..nenda playstore download kitu kinaitwa trojan killer..then open apps.. nenda option ya setting kweny hyo apps juu kulia then click itatoa option nying click about root itakupa link ya kudownload new kingroot..pakua hyo apps hakikisha umeruhusu unkwon source kwenye seting..then ruhusu usb debugging kweny developer option..fungua king root then root faster.strong internet connection must be applicable
 
Nmeroot huawei G535 kestrel nkaona mtu asemesema tuweke app mover bahati mbaya play store ikatoka na operamin na ile browser yakujia sasa kinachoendelea ni Bluetooth imegoma na chrome sasa nifanyaje? Nikiflash vitarud?
 
Naomba mnisaidie nini maana phone rooting pia naomba msaada jinc ya ku root sim zangu za halotel, Samsung galaxy j1 na samsung GT S6802
Skia mkuu kabla ujaroot unaroot sm ili iweje ama kwa ajili yann au kwasabb watu wanaroot
Orodhesha vtu ambavyo unaitaj baada ya sm kuroot den njoo nkupe msaada mpaka tamat
 
swali may 2016
majibu February 2017 only in Tz
 
Nmeroot huawei G535 kestrel nkaona mtu asemesema tuweke app mover bahati mbaya play store ikatoka na operamin na ile browser yakujia sasa kinachoendelea ni Bluetooth imegoma na chrome sasa nifanyaje? Nikiflash vitarud?
jaribu kurestore baadhi vinaweza kurudi lakini sio vyot kwa njia rahisi jaribu kudownload thirdparties app Google mfano hiyo app ya Google playstore,operamini,n.k
 
Hivi kama ukigundua simu yako imekuwa hacked na wajanja (kwa nia mbaya) unaweza kufanya nini kuzuia hiyo hali isiendelee? .Ahsante
 
Nmeroot huawei G535 kestrel nkaona mtu asemesema tuweke app mover bahati mbaya play store ikatoka na operamin na ile browser yakujia sasa kinachoendelea ni Bluetooth imegoma na chrome sasa nifanyaje? Nikiflash vitarud?

Ilikwisha nitokea hii kitu mkuu ila kupitia humu nilifanikiwa kusolve tatzo na likaisha mpaka sasa. Cha kufanya download Play store apk na install kama una app ya Lucky patcher ifungue then ndani yake huwa inaleta kila application na sifa zake so ww ichague ile google play store ulioidownload then i click kwa muda kama unataka kuiunstall vile utaona yanakuja maneno mengi ya options scroll chini ya hayo maneno utaona neno "Move to system app" click hapo then click "yes" ikimaliza ku convert play store kua system app itakuomba ku reboot.

Your done!
 
Bro sasa imecrash android system inakuja neno unfortunately huawei home is stopped nna halitoki
 
Mkuu huu ujumbe wa "unfortunately android has stopped" ni matatizo yaliyo common sana kwa simu za android za huawei na tecno zenye chip za MTK so kuisha kwa haya matatizo kumebakia njia moja tu FLASH hiyo simu tatizo litakwisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom