Xbox yauzwa pitia hapa

Jan 14, 2017
88
26
Hello Xbox 360 E nauza in JTAG kabisa au waweza sema jailbreak kama umezoea ivyo
Lina games 35 ndani .Controller tutatoa 3 ,camera yake ya kuchomeka pamoja na CD 10 zingine free twakupatia

IMG-20170303-WA0007.jpg IMG-20170303-WA0006.jpg IMG-20170303-WA0003.jpg
IMG-20170303-WA0005.jpg
 
Laki 4 utapewa na camera ya kinetic na infinite pad
Asante. Games gani ulizonazo na zipi zilizomo kwenye HD. Maana bei ya cd games hapa mjini ni kichefu chefu. Yaani hata zilizopitwa na wakati mfano fifa 2010 utaambiwa 150k.. hizi xbox na ps3/4 ni sheeda. Wakati huko nje zilizopitwa wakati unapata hadi £5 huku wanakuuzia ten times. Ps2 angalau kidogo
 
Games zipo nyingi kama soccer FIFA na pes nimejihidi kuwa updated pamoja na games za mission zipo. Zingine uta download mwenyewe unazozipenda
 
Back
Top Bottom