Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari wadau!!! samahani nimepiga pasport ambazo zinaitaji ukiprint ziwe kwenye karatasi moja pasport kama 40 hivi sasa inabidi kila moja iwe na namba yake jina, jinsia na sehemu ya kusaini mwenye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu salaam kuna Kitaa cha kwenye king'amuzi cha azam upande wa kulia kwa Juu pameandikwa LOCK hakiwaki nafikiri ndo tatizo maana king'amuzi hakifanyi kazi. msaada wenu wadau namna ya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kuna thread hapa nilianzisha kuhusiana na tekno yangu aina ya y3+ kuwa na tatizo la kuzima ovyo pindi ninapoicha bila matumizi, nashukuru wadau waluo wengi walinipa ushauri nzuri. Sambamba na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, nilikuwa nahitaji IDM iliyokuwa cracked au downloader nyingine yeyote kwa ajili ya ku download clips online. Hapo kabla nilikuwa na IDM sasa imeleta shida, ilikuwa cracked...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za weekend wakuu? Najua mnafuatilia mechi vzuri, ila tusaidiane kuambiana App nzuri ya mobile ambayo inadownload torrents faster, tofaut na utorrent na Bittorrent Asanteni
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa taarifa za uakika kabisa ni kuwa kazi ya kuunganisha vituo vyote vya dart kwa mfumo wa computer alipewa vodacom( ???? ). Kilichotokea kila msafiri wa dart anajua jinsi risiti zinavogoma...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jaman naomben links/websites zinazo onesha onlive tv channel za Tanzania maana npo nje ya nchi so namiss habar na matukio ya nyumban. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Naomba TCRA kama walivyokuja na wazo la kuhama mtandao bila kubadili namba, pia wafikirie na kuhama king'amuzi bila kubadili kadi wala dishi!
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujua kama kushirikiana kimatangazo na Google kupitia Google Adsense kama kuna faida au la? Naomba kuwakilisha. AMANI IWE NASI....
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni mnijuze wadau, Ni APP ipi inayoweza kutumika kutunzia kumbukumbu za biashara, yaani daily sales kwenye computer?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hizi tovuti kwa Uwelewa wangu huwa zipo tofauti, mfano Ukiona www.qqqqq.co.tz =maana yake ni domain ya Tanzania (.co.tz) yaani Tz kama Tanzania Kenya vlevle ni co.ke Uganda ni co.ug Japan ni...
1 Reactions
6 Replies
766 Views
Wakuu king'amuzi changu kimefuta chanels zote za ndani imebakisha al jazeera na cctv.nafanyaje kuzirudisha?
0 Reactions
3 Replies
738 Views
resolved
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajamii wenzangu, niko na tekno y3+ ila cha kushangaza naweza kuweka kwenye mfuko was suruali matokeo yake naikuta imejizima, mara ya kwanza nilijua ni betri ila nilibadilisha...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Huwa nikiwa nyumba ninayoishi Arusha nikinunua umeme wa luku wa sh 10,000/= napewa unit 28. Nikiwa nyumbani nilipozaliwa Moshi nikinunua umeme wa elfu 10, napewa unit 82. Sielewi hii huduma ipoje...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani nilikuwa na factor reset Tecno w4 cos mwenye cm alisahau pattern sasa imewaka ila inaniomba account na mwenye cm hujui account yake please
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana jf nami nimiongoni mwa wale waliofankiw kuroot sm zao na kubalisha muonekano wa sm yang kama apo mnavoona na kuwa na font za samsung Sasa kwa wale waliofankiwa naitaj msaada namna ku...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
Msaada :Nahitaji adsense account ,mwenye adsense acount andika namba yako nitakuchek
0 Reactions
3 Replies
688 Views
Wengi mtanishangaa lakini nimeona maisha ni watu na watu ni sisi. Nipo mwaka wa kwanza nachukua degree ya Information Technology kama kuna watu wa group la whatsapp au fb waniadd wadau napenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom