Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za asubuhi wanajamii wenzangu, niko na tekno y3+ ila cha kushangaza naweza kuweka kwenye mfuko was suruali matokeo yake naikuta imejizima, mara ya kwanza nilijua ni betri ila nilibadilisha matokeo yamekua yale yale.
Sasa naomba munipe msaada wa kiufundi tatizo ni nini hasa haijatimia hata mwezi kuanza kuitumia, nawatakia mafanikio mema.
Sasa naomba munipe msaada wa kiufundi tatizo ni nini hasa haijatimia hata mwezi kuanza kuitumia, nawatakia mafanikio mema.