Kuna App gani ya kutunzia kumbukumbu?

Othman H

Member
Feb 14, 2017
20
17
Naombeni mnijuze wadau, Ni APP ipi inayoweza kutumika kutunzia kumbukumbu za biashara, yaani daily sales kwenye computer?
 
unaweza ukatumia tu excel na kama unaenda advanced zaidi unaweza tumia quickbook point of sale.
 
Back
Top Bottom