Mchoro wa kikatuni cha Android kimenaswa katika mtandao wa Google Maps eneo la nchini Pakstani kikiwa kimechorwa kinakojelea alama ya kampuni shindani ya Apple.
Google Maps ni huduma ya ramani...
Hello Xbox 360 E nauza in JTAG kabisa au waweza sema jailbreak kama umezoea ivyo
Lina games 35 ndani .Controller tutatoa 3 ,camera yake ya kuchomeka pamoja na CD 10 zingine free twakupatia
Funga na kisha tupa ufunguo kabisa. Subiri kwanza…..Lakini hakuna ufunguo!. Watengenezaji wake wanaliita kufuli janja. Makufuli ya ‘TappLock’ ambayo yapo ya aina tofauti tofauti hayahitaji...
Heri wakuu!?
Nina tatizo moja ambalo naomba msaada wendu. Kuna account ya wife ya facebook naona inachezewa. Nimekuwa nikiona messages kama anajibizana na mtu,nikamuonya akadai si yeye...
Habari wakuu, natumia tecno w3 LTE, mtandao halotel na airtel, kuna baadhi ya sms nikitumiwa hazifiki ni kama kwa wiki mbili hivi na kwa yule aliyetuma zinaonyesha zipo delivered.
Nahisi shida ni...
Habari zenu wakuu, nimekuwa nikijaribu kuroot simu yangu aina ya Tecno w Marshmallow lakini imekataa. Nimeambiwa njia pekee ya kuroot ni kwa kutumia Custom Recovery. Naomba mnijuze Custom Recovery...
Wakuu wa kazi kijana mwenzenu nipo mbele yenu naomba mnisaidia jinsi ya kapata pesa kupitia blog maana nina kablog changu nimekaanzisha https:/sharifudon.blogspot.com
wandugu naomba msaada nilidondosha sm yangu smart phone mm n miongon mwa watu wanaosev majina katika email adress tatizo limekuja sm yangu sikua nimeiweka patern wala password aliyeokota anafanya...
habarini za asubui wana jf....
mimi nlikua naomba msaada wa pc camera software
mwenye link ya kudownload anisaidie tafadhali.
natumia window 7..LAPTOP NI HP...natanguliza shukrani.
Jamani nahitaji msaada wenu
Nina laptop yangu aina ya Dell
Nilikuwa Naitumia vizuri lakini juzi imeanza tatizo la Kuwa nzito na kuchemka nikiwa naangalia movie inakaa mda Ikiwa Poa baadae inanza...
Ni matumaini yangu kuwa wote mko na afya njema. Nimekua nikiona mitandaoni kuwa kuna baadhi ya watu wamefikishwa mahakamani kwa sababu ya kusambaza kitu kwa njia ya Watsapp , hii ina maana private...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.