Kwa taarifa za uakika kabisa ni kuwa kazi ya kuunganisha vituo vyote vya dart kwa mfumo wa computer alipewa vodacom( ???? ). Kilichotokea kila msafiri wa dart anajua jinsi risiti zinavogoma sababu network ni mbovu.Serikali yetu tukufu imeshachukua hatua kwa kuiagiza Kampuni ya kizalendo TTCL, imeshatandaza waya ya fiber kuunganisha vituo vya DART kwa ajili ya mawasiliano ya haraka. Hope tatizo litaisha soon.
"WITO: tujifunze kupenda vyetu,tuwe wazalendo ,tuipende kampuni yetu mama TTCL kwani inakuja kivingine very very soon baada ya kuondoa manyang'au yote yaliyokuwa yanadumaza shirika letu pendwa.
OK
"WITO: tujifunze kupenda vyetu,tuwe wazalendo ,tuipende kampuni yetu mama TTCL kwani inakuja kivingine very very soon baada ya kuondoa manyang'au yote yaliyokuwa yanadumaza shirika letu pendwa.
OK