Malecela 4GB
Member
- Sep 4, 2016
- 33
- 14
Naomba TCRA kama walivyokuja na wazo la kuhama mtandao bila kubadili namba, pia wafikirie na kuhama king'amuzi bila kubadili kadi wala dishi!
Utakuwa unatumia zuku tu weweNaomba TCRA kama walivyokuja na wazo la kuhama mtandao bila kubadili namba, pia wafikirie na kuhama king'amuzi bila kubadili kadi wala dishi!
Hahaaaaaa....Utakuwa unatumia zuku tu wewe