mkalisniper
Member
- Feb 18, 2017
- 20
- 5
Jamani nilikuwa na factor reset Tecno w4 cos mwenye cm alisahau pattern sasa imewaka ila inaniomba account na mwenye cm hujui account yake please
KweliUnatambua shida ya MTU safi sana kwa majibu mazuri wengine kama hamjui ni bora mnyamaze kuliko kucomment visivyofaa,sio wote wanaiba ila inatokea ukifanya restore kwenye baadhi ya Simu hata ukiingiza email ya zamani inagoma Mimi imenitokea kwenye Tecno N2 nahangaika nayo pia inataka e-mail nikiweka ya zamani inagoma
Thanks ngoja ni JaribuKama unaweka account ile ile sema inakataa,itabidi usubiri 72hrs kabla ya kujaribu tena..
Kwa msaada zaidi tembelea How to bypass device protection in Android Lollipop 5.1 when you do a factory data reset? - Android Guides