King'amuzi cha Azam kinasumbua

King'amuzi cha Azam kinasumbua

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
1,770
Reaction score
1,605
wakuu salaam

kuna Kitaa cha kwenye king'amuzi cha azam upande wa kulia kwa Juu pameandikwa LOCK hakiwaki nafikiri ndo tatizo maana king'amuzi hakifanyi kazi.

msaada wenu wadau namna ya kurekebisha
 
wakuu salaam

kuna Kitaa cha kwenye king'amuzi cha azam upande wa kulia kwa Juu pameandikwa LOCK hakiwaki nafikiri ndo tatizo maana king'amuzi hakifanyi kazi.

msaada wenu wadau namna ya kurekebisha

Hakuna signal hapo.unganisha waya vizuri,kilipie au mwite fundi.
 
hapa ni mawimbi yameshuka.
au
waya
au
card
au
ujalipia
au
umefuta channel
 
Back
Top Bottom