Dish kufuta FTA chanels

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,370
3,956
Wakuu king'amuzi changu kimefuta chanels zote za ndani imebakisha al jazeera na cctv.nafanyaje kuzirudisha?
 
Sina uhakika kama nimekuelewa what u mean by dish kufuta.. je jina la channel lipo ila haioneshi? (hii sometimes husababishwa na mabadiliko ta hali ya hewa pamoja na minara)
Ila kama majina hayapo kabisa na
Kama hujachezesha dish,ingia settings za receiver na uchague search automatically.. ikishindikana rudi hapa kuna wataalamu watakupa frequencies ambazo utaweka na kusechi manually.
 
Majina yap0 inasema no signal
 
Back
Top Bottom