Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Kuna thread hapa nilianzisha kuhusiana na tekno yangu aina ya y3+ kuwa na tatizo la kuzima ovyo pindi ninapoicha bila matumizi, nashukuru wadau waluo wengi walinipa ushauri nzuri.
Sambamba na hilo, juzi jumapili nilienda kuibadilisha na kuchukua aina hii hii.
Matokeo yake ni yale yale ya sim ya kwanza sasa nimekuja tena kwenu kupata ushauri, je niachane na aina ya tecno nichukuwe kabila lingine au nipotezee tu kutumia touch kwa kipindi hiki?