Msaada: Jinsi ya kuupdate rooted device

Pit brown

Senior Member
Jun 30, 2015
132
64
afcb970080c4290de13212bd1818b505.jpg

Habari wana jf nami nimiongoni mwa wale waliofankiw kuroot sm zao na kubalisha muonekano wa sm yang kama apo mnavoona na kuwa na font za samsung

Sasa kwa wale waliofankiwa naitaj msaada namna ku update sm yang na app zengine kwa rooted device
 
Kamwe huwezi Ku UPDATE/UPGRADE simu ikiwa rooted cha kufanya UNINSTALL ROOT baada ya hapo unaweza sasa Ku update/upgrade simu yako. Ukifanikiwa unaweza Ku install ROOT tena na tena.ni hayo tu mkuu.
 
Ahsante sana kwa msaada wako
 
afcb970080c4290de13212bd1818b505.jpg

Habari wana jf nami nimiongoni mwa wale waliofankiw kuroot sm zao na kubalisha muonekano wa sm yang kama apo mnavoona na kuwa na font za samsung

Sasa kwa wale waliofankiwa naitaj msaada namna ku update sm yang na app zengine kwa rooted device
Mkuu app gani ulitumia kupata hizo fonts za Samsung?
 
afcb970080c4290de13212bd1818b505.jpg

Habari wana jf nami nimiongoni mwa wale waliofankiw kuroot sm zao na kubalisha muonekano wa sm yang kama apo mnavoona na kuwa na font za samsung

Sasa kwa wale waliofankiwa naitaj msaada namna ku update sm yang na app zengine kwa rooted device
Nipo nje ya mada kidogo ulitumua app gani kuchange hizo font za Samsung
.
Kwanza ungesema aina ya simu unayotumia(eg samsung,htc,huawei etc) na version yake (eg:KitKat,lollipop or mashalow) halaf ndo tukusaidie njia ya kuiupgade sababu baadhi ya simu hauwezi kuziupdate unakuta hapo ndo mwisho wake yani ipo limited.
 
Mkuu msaada wa Huawei Y-530, Android Version 4.3, msaada tafadhali namna ya ku upgrade
 
kama simu yako wametoa updates unaweza kuupgrade kwa kufanya hivi
.
1. Touch Settings.
2. Scroll to and touch About phone.
3. Touch System Update.
4. Touch Online update.
5. The phone will search for updates.
6. If an update is available, follow the on-screen prompts to install it. If an update isn't available, touch Home.
.au unaweza kupitia hapo chini kwenye link kwa picha zaidi
Update software hapa
 
Kamwe huwezi Ku UPDATE/UPGRADE simu ikiwa rooted cha kufanya UNINSTALL ROOT baada ya hapo unaweza sasa Ku update/upgrade simu yako. Ukifanikiwa unaweza Ku install ROOT tena na tena.ni hayo tu mkuu.
Acha kupotosha uma kitu km hukijui kaa kimya (in an Advance way you can both update rooted & un rooted device)
 
Back
Top Bottom