Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

LG imezindua simu mpya ambayo skrini yake ni kubwa na ambayo inaweza kutumiwa njia tofauti kwa wakati mmoja. Simu hiyo LG G6 ina mfumo wa 18:9 badala ya mfumo wa 16:9 ambao unatumiwa na simu...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari za kwenu wanajamii kama kichwa cha habari kinavyosema unaweze kuongeza speed ya smartphone yako yenye android os kwa kubadilisha baadhi ya settings on the kernel kwakubadilisha frequency ya...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Ni betr gn inaweza kuwa bora zaidi kweny umeme wa sola!! Je ni muhimu kuwa na chaja control ati!? Msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada Wataalam Wa Graphics Nina laptop yangu Acer TravelMate P653-M nikisearch graphics Drivers ambazo zipo supported naona latest ni Intel hd 4000 na Nvidia Geforce 640...tatizo linakuja katika...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada tafadhali nina printer yangu ilikua inawaka vizur tu nakufanya kazi vyema tu ghafla ikazima na haifanyi kazi kabisa yaani hata ile ile taa ya power on haionyesh km moto...
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Kwanza kabisa nawasalim wote mliomo humu. Ningependa tujuzane kitu kidogo hapa juu ya ishu ya kutengeneza logo. Nimewahi kusumbuliwa sana na watu wakitaka niwatengenezee logo za biashara zao ila...
2 Reactions
13 Replies
17K Views
Naomba kufundishwa namna ya kuongeza kasi ya simu hasa wakati wa kusachi(android ) tecno Y3.asante
0 Reactions
0 Replies
715 Views
wadau baada ya Ku update WhatsApp nimekuta majina yanayonekana ni yale ambayo nimechat nao,majina mengine ya watu wangu kwenye WhatsApp hayaonekani sasa natumia njia gani kuyaona!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mobile Number Portability (MNP) Ni Huduma ya kuhamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani (MNP), ina maana kuwa mtumiaji anabaki na namba yake ya awali iwapo ataamua kuhamia...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Free Computer, Programming, Mathematics, Technical Books, Lecture Notes and Tutorials
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu Mimi ni mwanafunzi wa uhandisi umeme... Katika harakati za kujifunza nje ya darasa nilikua natamani kujifunza kuprogram PLC.. Shida inakuja pale ninapotaka kudownload software kwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
... Contribute anything you know about this tech
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Jamani msaada nina external yangu GB 160 lakini nikiiwekea mzigo mkubwa unakuwa nzito na nikitaka ku play hata video ina load mpaka kesho ila nikiweka mzigo wa GB ndogo Kama GB 10 ndio inakubali...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hizi simu mm nimezitumia sana Kwa mfano kama tecno lg htc. unakuta zinajitahidi kupiga sana camera zikiwa mpya lakini siku zinapo zidi kwenda mbele lile jicho ndio linazidi kufifia hata kama kama...
6 Reactions
169 Replies
27K Views
Habari za Usiku wadau wa jukwaa hili? Na Tatizo moja kama kichwa cha thread kinavyojieleza. Nimedondosha simu yangu kwenye maji Nokia C1. nimeifungua na kusafisha maji yote ila sijaiwasha! Je...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wote tunaijua programu ya VLC kuwa ni programu ya kuangalia video na kusikiliza audio, lakini ukweli ni kuwa programu hii inauwezo wa kufanya mambo mengi zaidi ya vile tunavyodhani. Kama...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nokia wamezindua kwa mara nyingine tena nokia 3310 katika muonekano uliokuwa bora zaidi.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana jamii forum, naomba kujua mwenyekufahamu bei ya simu sumsung galax j7 nataka kununua lkn bado nawaza nichukue ipi sasa mimi nimependa hiyo ila sijajua bei.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wataalamu wa hizi mambo msaada tafadhali.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ya weekend nimetengeneza playlist ya web development kwa html waweza zicheki na kutoa ushauri wako. Samahani niliweka link amabayo ilikuwa haifanyi kazi ila sasa iko poa bonyeza hapa WEB...
1 Reactions
6 Replies
892 Views
Back
Top Bottom