Husika na mada tajwa,
simu ni Note 3 ambayo ilikuwa inafanya kazi kama kawaida tatizo ni IMEI ilikuwa change so TCRA wameipitia but phone ni Genuine (OG).
Msaasada ambao naomba kusaidiwa ni kubadili IMEI ambayo iliyopo iliniweze kufanya mawasiliano kama kawaida nirudishe ile ya zama (Original IMEI).
Msaada au mchango wa mawazo karibuni.
cc
Njunwa Wamavoko
Mwl.RCT