Wenye uelewa na Tovuti Naombeni Msaada

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,133
Hizi tovuti kwa Uwelewa wangu huwa zipo tofauti, mfano
Ukiona www.qqqqq.co.tz =maana yake ni domain ya Tanzania (.co.tz) yaani Tz kama Tanzania
Kenya vlevle ni co.ke
Uganda ni co.ug
Japan ni co.jp

Swali: Kwanini South Africa wanatumia co.za?
Nn kirefu cha Za?
Kwnn wasiseme .co.sa?

Nawasilisha
 
Kama wengi walivosema because of historical context imekuwa derived from the Dutch word zuid-afrika.
Na pia domain extention ya .sa inatumika na Saudi Arabia
 
Back
Top Bottom