DIGITAL TV

hero7

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
222
70
Habari!wakuu ningependa kujua zaidi juu ya digital tv kwa tv kama lg na samsung kwa channel za kitanzania na nje ya tanzania na ni jinsi gani ya kuset,Nawasilisha kwenu.
 
Ukipata majibu naomba unijuze tafadhari.
Nami ni miongoni mwa wahitaji wa hilo.
 
Nunua kwanza unataka kujifundisha kuendesha gari mtandaoni?
 
Back
Top Bottom