Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wakuu,, mwaka kama mmoja uliopita nilikuwa namba nilikuwa naitumia na nilijiunga nayo Whtsp pia, ila bahati mbaya simu ikapotea na nikashindwa kuirenew sabb nilikuwa nje ya nchi je...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninaomba kufahamishwa jinsi ya kuroot simu aina ya Tecno C9 maana kwa njia ninazozifahamu na zile ambazo nimewai ona thread zake hapa nimeshindwa kuzitumia hadi nifanikiwe katika hili...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Tujadili kwa niaba ya watu wote wenye mawazo - na + ( Hili ni kosa la udukuzi wa taarifa za kimitandao usijaribu kukutwa ) Tusiwe wavivu au wepesi wa kurahisisha mambo kama mtu haitaji ushike...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
jamani anayeijua jinsi ya kudownload na kuinstall linux kwenye pc atupe idea ndugu zangu
0 Reactions
0 Replies
828 Views
anisaidie kunipa maelezo kuihusu
0 Reactions
1 Replies
628 Views
Naomba kuuliza kwa wanaotumia Android os lollipop v5.0.2 ina features gani zimeongezeka tofauti na Android os kit kat v4.4.4?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Utafiti uliofanywa na tovuti ya Match.com nchini Marekani unaonesha watu utumia hadi vigezo vya simu ambayo mtu anatumia katika kuchagua mpenzi. Inaonekana watumiaji wa iPhone ndio ‘wanaojisikia’...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
How to setup Voice Typing in Android Devices Just speak out your words and see it typing Make your typing more easier for you No stress No data connection is involve No third party app is...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Jaman msaada mwenzenu app nzuri ya kuchekia mipira isiyo gandaganda.kwan leo tv yangu imeungua na kuna gemu za uefa.natanguliza shukran kwenu.achana na mobdro app
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakuu, kuna hizi taarifa za kuhama mtandao bila kubadili namba. Naomba kuelewesha inakuaje apo. " Habari kwa Umma, huduma ya kuhama mtandao bila kubadili namba yako itaanza kuanzia tar...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu mwdnye game ya GTA V ya pc aniambie yuko wap nije kuchukua.....
0 Reactions
3 Replies
765 Views
Kwa alie cheza GTA 5 na Tomb raider 2013 kwenye Ps 3 naomba msaada.Mm nikianza kucheza tu tomb raider yule jamaa naekutana nae mwanzo nakunivuta huniua na kuishia hapo hapo ...kwenye GTA 5 mwanzo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
PROGRAMMER'S world wide Let's join and share ideas together...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
wakuu hii ipoje yaani kila baada ya kuroot sim hua inakua nzito yaani ukifungua application inakua nzito na haichelewi ina exit ni simu ya tatu hii msaada nifanyeje coz now naona ku root ni ka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa mawazo niña laptop hp 2000 ina freeze mouse na screen ina freeze kila kitu haki respond. Naomba mwenye aliwahi pata tatizo kama hili anaiambie nini shida. Asante
0 Reactions
4 Replies
824 Views
Wakuu nilikuwa na Reset Pc yangu ina wondow 10 sasa nilikuwa na Reset yani ifute data zote ianze upya process imeenda fresh mpaka ikajaa asilimia 100 ikaanza kuinstal window sasa hapo Sikujua kama...
0 Reactions
3 Replies
791 Views
Habari wana JF tafadhali jamani naomben msaada ama maelekezo namna ya kuunda email .ni hayo tu wapendwa.
0 Reactions
3 Replies
16K Views
Back
Top Bottom