Laptop or desktop

Laptop or desktop

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Jamani iam engineering student i need your help which is better for me kati ya desktop na laptop ili ku acces better service ya hivo vitu kama gaming CAD na mengineyo.

Ahsanteni
 
jaman iam engineering student i need your help which is better for me kati ya desktop na laptop ili ku acces better service ya hivo vitu kama gaming CAD na mengineyo

ahsanten
Laptop si mashine nzuri hasa kwa kazi za graphics ingawa huwa zinalazimishwa kufanya hivyo
 
Mkuu elezea vizuri kuhusu graphics
 
Laptop au Desktp zote sawa. Inategemea wewe unataka uwe mahali pamoja au unataka ambayo unaweza kuichukua kwenye shughuli zako. Kama ni hivyo basi Laptop itakufaa lakini kama ni ya kuweka mahali pamoja na sio kuibeba kwenye mishe mishe zako basi Desktop inafaa pia. Kingine ni kuchagua Computer kuendana na Matumizi yako. Kikubwa ni aina ya processor labda tuseme core i7 or i5 6th generation, Kwa upande wa RAM minimum 4Gb au 8Gb, kwa vile imegusia gaming basi ni vuzuri ikawa na dedicated graphics adapter 2Gb, Kwa upande wa HDD sio issue hata ikiwa 500Gb sio tatizo maana unaweza kutumia external HDD ukahifadhia data zako.

BTW wewe ni engineer muda wa gaming utaupata wapi?
 
Kwann mkuu Nipe maelezo kidogo kaka
Navujua, na nilivy0jaribu, uki0na deskt0p n mashine iliy0undwa kwa vifaa vpana na vna uwez0 mkubwa wa kupumua kulik0 lapt0p ambay0 ik0 cl0sed hata kama ina c0re kubwa ram kubwa
 
Games za nini tena injinia?

Cheza na ma procon, master series, Autocad n.k
 
Jamani iam engineering student i need your help which is better for me kati ya desktop na laptop ili ku acces better service ya hivo vitu kama gaming CAD na mengineyo.

Ahsanteni
Basically desktop mpya na laptop mpya zenye specs zinazofanana huwa hazipishani bei sana.

Faida za laptop;
. portable/ mobile / easily movable utaweza kwenda nayo popote hata darasani.
. utumiaji umeme kidogo.

Faida za desktop
. easily upgradable hata graphics card unaweza kubadilisha/kuongeza.
. utakuwa unaiacha nyumbani.
. si rahisi kuipoteza au kuisahau mahali
 
Mpya hizi za kikwetu (used) au brand new kabisa anayoifungua box mwenyewe, navyojua jua desktop zipo juu kwa gharama ukilinganisha laptop of the same specs, msisitizo [Mpya kabisa, mana wengine hata zile used za kkoo wanaziita mpya]
 
Ni mpya kabisa BrandNew. Ukiona desktop ina bei basi ujue kuna utofauti aidha kwenye graphics card sanasana.

Otherwise mfano Laptop ya pentium yenye vga ya intel haipishani sana na desktop ya pentium yenye vga ya intel.
 
Labda kwa low end desktop, hata hivyo perfomance wise, always desktop win. kwa hiyo bado kuna walakini.
 
Tofauti hapo ni processor. Kwa mfano sio kila processor inayotumika kwenye laptop inawezakutumika kwenye desktop na hapo ndipo tofauti inapokuja. Laptop zinakuja na mobile processor ambapo desktop haziji na hizo processor. Hivyo ukiona desktop ina CORE i3 angalia ni i3 ipi maana zipo nyingi na zinatofautiana sana katika perfomance.
 
haijalishi unatumia laptop au desktop kama unanunua machine ya kazi hakikisha inameet minimum requirements ya software yako,

AutoCad ni single thread application, cpu yenye perfomance kubwa ya core moja hata kama ni dual core itafanya kazi vizuri kuliko cpu yenye core nyingi.

mfano kuna i3 7350K ni dual core na hyperthread
na kuna xeon E5-2698 v3 yenye core 32 na thread 64

hapo kiharaka haraka unaweza ukafikiri yenye core 32 ni bora kuliko yenye core 2 ila si kweli, hio i3 ina nguvu kupitiliza compare na xeon ya core 32 kwenye AutoCad.

hivyo cha muhimu hakikisha hio laptop/desktop ina single thread perfomance kubwa kadri inavyowezekana.

kuhusu laptop/desktop kikawaida desktop zina nguvu tena sana compare na laptop, mfano laptop ya kisasa yenye core i5 au i7 7th generation inayouzwa zaidi ya milioni moja inapitwa perfomance na i5 2nd gen inayopatikana hadi 250,000 aggrey.

hivyo kama unataka perfomance kwa bei ndogo desktop ni bora zaidi.

ila sababu umesema ni mwanafunzi suala la umeme wa Tanesco na kuhudhuria darasani na kujisomea kama laptop inakufaa zaidi.

cpu za laptop zinazokimbizana na desktop ni i7 zinazoishiwa na HQ au HK sema bei zake nazo zimesimama ukiipata bei rahisi sana pengine 1,500,000. nyingi ni milioni 2 kupanda.

cpu ya laptop ambazo kwa sasa unaweza kuzipata kwa bei nafuu kama around 500,000 yenye single thread perfomance nzuri ni i5 4340M, hii ni cpu ya 4th gen ila mpaka leo perfomace yake ni kubwa sana.
 
chief mkwawa nlikuwa nasubiria san hiki kitu kwa muda mrefu hasa kwaizi processor za intel icore yenye hayo manamba hapo nyuma yannichanganya kujua ipi ni zaidi ya mwenzake mfano core i5 5005U
 
hio 5005u ni i3 sio i5 na haina nguvu ya kutosha kufanya hayo mambo unayoyataka.
 
haijalishi unatumia laptop au desktop kama unanunua machine ya kazi hakikisha inameet minimum requirements ya software yako,

AutoCad ni single thread application, cpu yenye perfomance kubwa ya core moja hata kama ni dual core itafanya kazi vizuri kuliko cpu yenye core nyingi.

mfano kuna i3 7350K ni dual core na hyperthread
na kuna xeon E5-2698 v3 yenye core 32 na thread 64

hapo kiharaka haraka unaweza ukafikiri yenye core 32 ni bora kuliko yenye core 2 ila si kweli, hio i3 ina nguvu kupitiliza compare na xeon ya core 32 kwenye AutoCad.

hivyo cha muhimu hakikisha hio laptop/desktop ina single thread perfomance kubwa kadri inavyowezekana.

kuhusu laptop/desktop kikawaida desktop zina nguvu tena sana compare na laptop, mfano laptop ya kisasa yenye core i5 au i7 7th generation inayouzwa zaidi ya milioni moja inapitwa perfomance na i5 2nd gen inayopatikana hadi 250,000 aggrey.

hivyo kama unataka perfomance kwa bei ndogo desktop ni bora zaidi.

ila sababu umesema ni mwanafunzi suala la umeme wa Tanesco na kuhudhuria darasani na kujisomea kama laptop inakufaa zaidi.

cpu za laptop zinazokimbizana na desktop ni i7 zinazoishiwa na HQ au HK sema bei zake nazo zimesimama ukiipata bei rahisi sana pengine 1,500,000. nyingi ni milioni 2 kupanda.

cpu ya laptop ambazo kwa sasa unaweza kuzipata kwa bei nafuu kama around 500,000 yenye single thread perfomance nzuri ni i5 4340M, hii ni cpu ya 4th gen ila mpaka leo perfomace yake ni kubwa sana.
Mkuu una maanisha hiyo sh 250,000 hapo kwa aggrey. unapata mashine au cpu kama cpu ?
 
mashine nzima 4gb ram, 320 au 500gb ram, i5 2400 (sandybridge), sema inakuwa sff itakulimit kwenye gpu sio zote zitakubali na power supply zake ndio zile zisizoongezeka, pia ni machine tupu bila monitor
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom