Msaada wa matengenezo ya Macbook Pro na Iphone5

OPTIMISTIC

Senior Member
Mar 12, 2011
125
20
Salaam sana wapendwa,

Niliupgrade program ya macbook ili nipate version mpya, niliporestart computer ina request password kisha ina load program lakini haifiki mwisho. Niliiacha siku nzima bila mafanikio.

Pia nina iphone5 ambayo ilikuwa inatumika vizuri tu, bahati mbaya aliyekuwa anaitumia alisahau apple id, naomba msaada pia.

Nitalipia huduma
 
Mtu unaposema kuwa mwenye simu amesahau apple id nakuwa sikuelewi halafu nakuwa na mashaka juu ya uhalali wa hiyo simu maana mara nyingi si rahisi kusahau apple id maybe password maana apple id mara nyingi huwa ni email yako unayoitumia
 
Nimetumia iphone na macbook kwa muda mrefu sana na najua unamaana gani. Hii ni simu ameitumia dada yangu tokea ikiwa mpya kwa miaka kama 3. Mimi ni mtu mzima na mfanyakazi kwa zaidi ya miaka zaidi ya 15 sijawahi na sitawahi kutumia mali ya wizi
 
I hope kwa hiyo miaka mitatu aliyoitumia hawezi kusahau Apple ID may be password, na kama amesahau password fuata process ya kureset password
 
Back
Top Bottom