jmwalu
Member
- Nov 24, 2010
- 71
- 50
Ninaomba wataalamu wa IT.. mnisaidie hapa. Kila ninapotaka kuongeza au kuondoa file kwenye flash yangu Aina ya Twin Mos, inakataa kwa kuniletea ujumbe... This devise is write protection. Na kila nikitaka kuitoa sipati namna ya kutoa. Nawezaje kuitoa? Maana hata kui format inakataa.