frank nyantu2 JF-Expert Member Jun 26, 2016 298 162 Mar 17, 2017 #1 Cm yangu ina kawaida ya kufuta majina kwenye contact list hasa yale ambayo natumia sana
Me I and my self JF-Expert Member Sep 16, 2016 4,063 8,796 Mar 17, 2017 #2 Hiyo simu yako ni nzuri sana inakusaidia kuondoa namba za michepuko.
No Escape JF-Expert Member Mar 7, 2016 6,663 7,774 Mar 18, 2017 #4 Angalia setup yako kwenye Contacts.......
iNine9 JF-Expert Member Mar 1, 2017 4,357 8,092 Mar 18, 2017 #5 Save majina katika Gmail account yako badala ya kwenye SIM card na pia kama ukiona hali kama hiyo inatokea uwe unajarbu ku restart sim yako yanarudi.
Save majina katika Gmail account yako badala ya kwenye SIM card na pia kama ukiona hali kama hiyo inatokea uwe unajarbu ku restart sim yako yanarudi.