korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,053
- 1,259
Simu yangu tajwa hapo juu nimekumbana na tatizo la kuwa na mwanga mkali yaani hata nipunguze vipi bado macho yanaumia kutazama pia ukifungua app kma whattsapp inaonyesha kupauka sana tofauti na simu nyingine nilizotumia juzi juzi kama huawei p8 lte, naombeni msaada kama kuna njia nyingne ya kupunguza mwanga yaani hadi screen mode nimeweka BASIC lakini wapi naona tatizo bado liko palepale

