MSAADA:KUONGEZA CALL OPTION KWENYE MODEM

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Wanajukwaa naombeni msaada wa kuifanya modem yangu iweze kuwa na option ya call na ussd , Yani kila bando linapokauka inabidi nichomoe laini kwenye modem niiweke kwenye simu ili niweze kuingiza salio na kununua bando kwa mfumo wa USSD,

MODEM YANGU NI HUAWEI E 3372h - 153 na inaweza kuingiza line yoyote ila tu haina feutures za call and usd,

NAOMBENI MSAADA GUYS.
 
Badilisha Dashboard. Tumia dashboard ya huawei nyingine yenye hizo option. Jaribu dashboard ya ZANTEL
 
tafuta customized dashboard then update modem yako... mobile partner nadhani ndo best option
 
Modem nyingi za sasa hiyo feature wamei disable hata ubadilishe dashboard haitosaidia kitu. Kama unatumia smartphone kwanini usifanye tethering, au tafuta line special kwa ajili ya modem yako, ili kuepuka kuchomoa na kuchomeka kila muda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom