Msaada ku track namba ya mtu

Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,874
5,683
Poleni na majukumu wajuzi wa mambo
Naombeni unijuze jinsi ya ku truck namba ya mtu vitu kama sms, location ikiwezekana na voice call
Asanteni
 
Poleni na majukumu wajuzi wa mambo
Naombeni unijuze jinsi ya ku truck namba ya mtu vitu kama sms, location ikiwezekana na voice call
Asanteni
Tahadhar angalie usije kujinyonga, wenzako walifualia hivyo vitu wakarest in Peace automatically
 
Tahadhar angalie usije kujinyonga, wenzako walifualia hivyo vitu wakarest in Peace automatically
Mkuu siyo mimi ni best friend wangu wa kike amechoka na nyendo za mwenzie anataka ajue tu mengine atakabiliana nayo kuliko kuishi kwa kudhania kila siku
 
Haipo play store,kitu cha kwanza upate simu ya mlengwa hata kwa dakika 5 tu then hutohitaji kuwa nayo tena bali utapata mawasiliano yake yote kupitia cm yako
Hakuna app ambayo inaweza kumkamata bila ku download app yoyote kwake?
 
Poleni na majukumu wajuzi wa mambo
Naombeni unijuze jinsi ya ku truck namba ya mtu vitu kama sms, location ikiwezekana na voice call
Asanteni
Sikuwahi kujuwa kama wewe ni mpuuzi kiasi hiki, kwahiyo na kumani utamuwekea cctv camera kuangalia maboro mangapi yanamgonga?

Poor IQ.
 
Tumia thetruthspy app iko vizuri hii ila ni lazima upate simu ya uyo unayetaka kumtrack install iyo app ktk cm yake then ingiza baadhi ya document km gmail yake then uninstall iyo app alaf utaweza kuona location,SMS, voice call,contact,call history pia hata WhatsApp Twitter na fb lkn hv huwa ni premium
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom