Uunganiahaji Wa CCTV CAMERA kwenye simu za android au laptop kwa wireless.

Noe kidumage

Member
Aug 25, 2016
84
25
Wadau mambo VP?!??nlshadodosewa kuwa wapo wataalamu Wa IT ambao wanauwezo kuunganisha simu kwa simu. Simu ya 1 ikatumika kma camera na sm ya 2 ikatumika kma computer. Na hii inaunganishwa bila kutumia waya 'wireless' mwenye uelewa na hii taaluma tafadhal Anisaidie.

Mungu awabaliki.
 
Kwa kutumia simu. NI rahisi hapo una download program ya hki vision halafu una register information DVR yako pamoja na email na password badae uta login kwa username n password .

Ila kumbuka make sure una router connected to DVR kwa ajiri. Ya internet services
 
Mkuu its possible ni kitu simple sana kwanza lazima uwe na Camera aina ya IP Hio iko built-in in na Transimitter pili uwe na NVR Network Video Record tatu ni Router japo sio muhimu ivo baada ya hapo tafuta Universal Setup au Setup specific ya hio camera na ifanyie configuration ukimaliza Download app yake Store yoyote na Pachika Ip address yake na Pin hapo uta acces camera yako popote ulipo
 
***
Yote hayo yanaweza cost kiasi gani? na ufundi...
 
Fanya ifuatavyo
Download IP webcam kwenye playstore
Kisha install na kuifanyia configaration
Then fungua hiyo app na u-start server
itaonesha IP address ya hiyo simu.

Note: Hiyo simu ndio itakayotumika kama server na ndio itakayokuwa ina monitor eneo husika

chukua simu yako nyingine au nenda kwenye computer yeyote ilimradi iwe na internet connection
then andika ile IP address ya kwenye sever itakupa uandike user name na PSW uliyo i-configure kwenye ile sever.
then utaanza kui-access ile server.
 
Angalau nami nimepata somo!
 
Ntaijarbu hii angalau na mimi nimeelewa asante kwa mreta mada
 
Kwa kutumia simu. NI rahisi hapo una download program ya hki vision halafu una register information DVR yako pamoja na email na password badae uta login kwa username n password .

Ila kumbuka make sure una router connected to DVR kwa ajiri. Ya internet services
Je unaipataje dvr information
 
Fanya ifuatavyo
Download IP webcam kwenye playstore
Kisha install na kuifanyia configaration
Then fungua hiyo app na u-start server
itaonesha IP address ya hiyo simu.

Note: Hiyo simu ndio itakayotumika kama server na ndio itakayokuwa ina monitor eneo husika

chukua simu yako nyingine au nenda kwenye computer yeyote ilimradi iwe na internet connection
then andika ile IP address ya kwenye sever itakupa uandike user name na PSW uliyo i-configure kwenye ile sever.
then utaanza kui-access ile server.
Ip address kweny sever naipata wap ikiwa natumia sm
 
Je unaipataje dvr information
Ukinunua DVR au NVR kwa ukifungua huwa INA stikaa iliondandikwa DVR name, IP address ya DVR ambazo utajaza information on web au app uliyo download.

Ukiona unashidwa kuelewa just ingia YouTube material yote yapo online .
 
Kwa KIFUPI MKUU SOMO LA CCTV SECURITY SYSTEM LINAITAJI VITU VITANO.

1.CAMERA.

2.DVR AU NVR

3.HARDDISK

4.WIRE WA COAXIAL AU UTP.

5.SCREEN YA KUONYESHA.

UKISHAAWEZA KUFANYA INSTALLATIONS. YA HIVI VIFAA CONFIGURATION NI. RAHISI.

ILA KAMA UTAITAJI KUJIFUNZA. JINSI YA KUFANYA REMOTE ACCESS. KWA KUTUMIA SIMU AU. LAPTOP HAPO UTAKACHONGEZEA NI ROUTER.
 
Aah sawa mkuu nilifkiru ni sm kwa sm au sim kwa pc kumbe mpaka uwe na vifaa mbali na s
 
Kwa KIFUPI MKUU SOMO LA CCTV SECURITY SYSTEM LINAITAJI VITU VITANO.

1.CAMERA.

2.DVR AU NVR

3.HARDDISK

4.WIRE WA COAXIAL AU UTP.

5.SCREEN YA KUONYESHA.

UKISHAAWEZA KUFANYA INSTALLATIONS. YA HIVI VIFAA CONFIGURATION NI. RAHISI.

ILA KAMA UTAITAJI KUJIFUNZA. JINSI YA KUFANYA REMOTE ACCESS. KWA KUTUMIA SIMU AU. LAPTOP HAPO UTAKACHONGEZEA NI ROUTER.
Kwan mkuu simu kwa simu haiwezekani?!
 
Back
Top Bottom