Msaada kujua size ya hii Domain

kindboy

Senior Member
Dec 11, 2010
142
28
Habari za asubuh wataalam , Mimi sio mtaalam wa maswala ya website na Domain,
Nimenunua Domain kwenye moja ya kampuni za kitanzania, niliwaambia wanipe unlimited size kwasababu project yangu itakuwa inachua information nyingi na pia kutakuwa na baadhi the applications pia na data base system,
Lakin nimekuwa na wasiwasi kama inaweza ikawa na hizo sifa nilizo waambia .
Hebu naomba mnichekie , kwa sababu mpaka sasa imekuwa hosted ila bado sijaanza ku upload contents rasm , nataka kujirizisha kabla sijaanza kuingiza materials kwenye site.

Hizi hapa ni baadhi ya details nimezichukua kwenye CPANEL, nadhani through this details you can advice :

Server Information
Satistics
3 / 500 ( 1% )

0 / 500 ( 0% )

34.51 MB / 931.32 PB ( 0% )

Mailing Lists Disk Usage
0 bytes / ∞

MySQL® Disk
1.16 MB / ∞

Disk
89.13 MB / ∞

CPU Usage
0 / 100 ( 0% )

I/O Usage
0 / 1024 KB/s ( 0% )

IOPS
0 / 1024 ( 0% )

Virtual Memory Usage
0 bytes / 2 GB ( 0% )

Entry Processes
0 / 30 ( 0% )

Physical Memory Usage
0 bytes / 1 GB ( 0% )

Number of Processes
0 / 40 ( 0% )

Mail

MySQL Disk
1.16 MB / ∞

Disk
89.13 MB / ∞

CPU Usage
0 / 100 ( 0% )

I/O Usage
0 / 1024 KB/s ( 0% )

IOPS
0 / 1024 ( 0% )

Virtual Memory Usage
0 bytes / 2 GB ( 0% )

Entry Processes
0 / 30 ( 0% )

Physical Memory Usage
0 bytes / 1 GB ( 0% )

Number of Processes
0 / 40 ( 0% )

Mail
0 / 500 ( 0% )
Disk space ni unlimited,
hiyo alama kama nane iliyogeuzwa maana yake ni unlimited
 
Ni unlimited kweli kwenye space, ila usitegemee kuweka site ambayo ina watumiaji wengi kwenye unlimited hosting utagongana na miamba ya CPU limits, RAM limits na database connection limits.
 
Kang@ yes nategemea kuwa na site ambayo ni forum kwa maana hiyo itakuwa na visitors wengi, ningeomba ushauri wako kitu gan kifanyike kwa hapo.
 
Ulikosea sana kuwaambia wakupe unlimited space.
Kama ulivyosema hujui haya mambo vizuri, ungeokoa hela nyingi sana kuuliza. Wewe unaweza hisi unachukua information nyingi kumbe kwa mtu anayejua akawa anaona ni information ndogo sana, kutunza picha 10,000 mfano, watu wanaona 10K wanaona a big number, to a computer that's nothing.

Kua na database, server, e.t.c haimaanishi una data nyingi, unavyomaanisha nyingi unamaanisha nini?
Unachukua data zenye billions of rows? Bilioni kwako inaweza onekana kitu kikubwa ila kwenye database kama mysql ni kitu kidogo sana, na hizo data zitakua katika format gani? kama ni simple texts, a billion of them hata 20GB harddrive ni overkill, labda kama ni images which I doubt maana kua na that many images ungekua level nyingine kabisa.

Utapigwa hela nyingi sana mwisho wa siku kwa sababu hujui haya mambo, ni vizuri kuuliza ukajiokolea pesa, hapo info zako zinaonyesha hutumii kitu kabisa. Nunua kidogo, ikitokea unahitaji kuscale omba mtu akusaidie, ni dakika chance sana ku-upgrade to a higher spec system.
 
Endelea tu hapo hapo kwanza, utaona kama site itakuwa inapata shida itabidi uhamie dedicated au VPS hosting. Integemea sana sotware utakayokuwa unatumia kwa ajili ya hiyo forum na kama utakuwa na watumiaji wengi kwa muda mmoja "active users" unaweza ukawa na members wengi wa forum lakini hawako online at the same moment hivyo hawaleti stress kwenye site.
So endelea tu pima->adjust->rudia.
 
Hizi unlimited ndo zinakuaga cheapest mara nyingi, so sidhani kama kaingia hasara.
Aweke hiyo site kisha focus kwenye kupata watumiaji, kupata users wa forum ni vigumu sana so probably hautahitaji hata kapacity yoyote kwa miezi/miaka mingi.
 
Tha

Nthanks a lot brother kwa mchango wako acha nianze kwanza kazi ya Ku drive vistors kwenye site, hapa napo nadhan nitakuja kuwaomba msaada wataalamu wa mambo ya a digital Marketing.
 
Endelea tu hapo hapo kwanza, utaona kama site itakuwa inapata shida itabidi uhamie dedicated au VPS hosting. Integemea sana sotware utakayokuwa unatumia kwa ajili ya hiyo forum na kama utakuwa na watumiaji wengi kwa muda mmoja "active users" unaweza ukawa na members wengi wa forum lakini hawako online at the same moment hivyo hawaleti stress kwenye site.
So endelea tu pima->adjust->rudia.
Yes Kang ngoja nianzie hapa kwanza taratibu nadhani ndo kujifunza, ila pia nitahitaji msaada wa security kwa sababu kutakuwa pia na online payment, naogopa wale hacker, wanaweza wakaamua kujalibishia ujuzi wao kwangu nikapata hasara
 
Back
Top Bottom