Msaada nashindwa pokea meseji kwenye simu yangu

Jux juma

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
871
691
Habarini wakuu
Samahana kwa anaye fahamu tatzo ka MTU kushindwa kupokea meseji za kawaida kwenye cm hata nikiangalia salio sipati meseji ya ujumbe pia hata nikitoa ela mpesa ela kule inafika lakini mm sipati meseji yoyote yauthibitisho
Samahani msaada kwa anae jua solution ya hili tatzo
 
haya nenda kwenye meseji settings hadi kwenye centre number ifute iliyopo afu uandike hii +25575114 kama haifanani na hii,ikikataa na hii basi simu au chip yako kimeo,nenda kai'swap
 
OK ngoja nijaribu mkuu
 
haya nenda kwenye meseji settings hadi kwenye centre number ifute iliyopo afu uandike hii +25575114 kama haifanani na hii,ikikataa na hii basi simu au chip yako kimeo,nenda kai'swap
Mkuu center namba ziko sawa naiyo uloandika
 
most of time hili tatizo husababishwa na Tamaa za google za kutaka kucontroll kila unachofanya.

nenda setting za message (huko ulikoangalizia centre no) angalia default msg app sio hangout? kama ni hangout itoe eka sms/messaging kama default app
 
Message > setting > Text messages(SMS) > centre number(sms service center) > if tigo_+255713800880, voda_+25575114(mitandao mingine sijui > ok > exit/back..
fanya hivo kwanza!..
 
most of time hili tatizo husababishwa na Tamaa za google za kutaka kucontroll kila unachofanya.

nenda setting za message (huko ulikoangalizia centre no) angalia default msg app sio hangout? kama ni hangout itoe eka sms/messaging kama default app
Nawezaje itoa Hangeout if imewekwa kama bloatware app(pre-installed) so far available kingroot to root my phone haijatoka!.
 
Habarini wakuu
Samahana kwa anaye fahamu tatzo ka MTU kushindwa kupokea meseji za kawaida kwenye cm hata nikiangalia salio sipati meseji ya ujumbe pia hata nikitoa ela mpesa ela kule inafika lakini mm sipati meseji yoyote yauthibitisho
Samahani msaada kwa anae jua solution ya hili tatzo
Andika bashite tuna 111.
 
Back
Top Bottom