Program gani nzuri ya kubadilisha audio kwenda video?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Namaanisha ile una audio file yako kisha kisha una enaweka picha then inakuwa kama video inayoweza kuwa uploaded Youtube Naitafuta hii program wakuu kwa anayejua plz..ambayo haiuzwi
Ni kwenye windows , nilikuwa na movie maker zamani ilikuwa free, ila nilipojaribu ku install leo inaniambia inauzwa hakuna free version tena..au kama kuna mtu ana free version ya movie maker anitumie au upload hapa
 
Kwa kweli kubadilisha audio kwenda video ni kitu ambacho hakiwezekani (hakipo). Audio files zinaweza kuwa encoded na vitu vichache kama lyrics na album picture na si vinginevyo.
 
Namaanisha ile una audio file yako kisha kisha una enaweka picha then inakuwa kama video inayoweza kuwa uploaded Youtube
 
windows movie maker kama alivyosema mdau hapo juu kwa pc na cyberlink powerdirector kwa android,

-cyberlink utaipata playstore
-movie maker inakuja na pc search computer yako utaipata kama haipo idownload site ya microsoft
 
Ni kwenye windows sio android, movie maker nilikuwa nayo zamani ilikuwa free, ila nilipojaribu ku install leo inaniambia inauzwa hakuna free version tena..au kama una free version nitumie mkuu
 
ni free, unatumia windows gani? umeshasearch pc yako ndani kama ipo au haipo?
 
Inanionyesha kama hivi

kk.PNG
 
Back
Top Bottom