JINSI YA KUINSTALL THIRD PART APP ON IPHONE

NR'S

Senior Member
Feb 14, 2012
106
12
Wadau natanguliza heshima zangu kweny....naomba mwenye ujuzi wa kuweza kunielekeza Au kunifanyia hili zoezi tutalindana...nataka ni install app ambazo azipo AppStore ya iphone
 
1. ujailbreak iphone yako (njia ya uhakika)
2. sideload toka website ya hio app au tutorial mbali mbali online mara nyingi wanatumia xcode
 
Nina app nyingi za kudowload ambazo nazipata on hax.ambozo ni pro sasa nilikuwa nataka kuzitumia huku Kwenye iphone
Onhax si nyumbani kwa android?
Kwa jinsi nlivyokuona mkuu android ndio panakokufaa ...
20170318_145013.jpg
 
sio lazima ujailbreak iphone yako ili kuinstall third party apps

fanya hivi download hizo apps unazohitaji kwa computer kisha download software inayoitwa impactor.exe

kisha open hiyo impactor afu drag and drop hizo apps eg.instagram++ kwenye impactor kisha utaletewa viboks viwil vya ku enter apple id yako vijaze kisha acha apps ziwe installes kwenye ios baada ya hapo ingia kwenye iphone yako kwenye settings nenda general kisha shuka chin hadi uone profiles and device management... fanya hivo kwanza kisha niambie niendelee
 
Back
Top Bottom