Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,166
Habarini wanajamvi.
Ukitaka kuzipata whatsapp status za kwenye simu hapa namaanisha zile short clips zinazokua posted na watu walio kwenye whatsapp contacts namba zako ni simple fata hatua hizi.
[*]Fungua whatsapp yako then angalia status zao zote hii ni lazima ili ziweze kuwa saved kwenye simu yako, ukimaliza fata hatua inayofuata
[*]Kupitia simu yako nenda kwenye file manager application
[*]Then settings/option.
[*]Tafuta sehemu iliyoandikwa show hidden folders tick then ok/save
[*]Elekea kwenye whatsapp folder lako
[*] Utakuta kuna kuna file jingine limeongezeka likiwa kama na kivuli flani lifungue, linaitwa .Statutes
[*]File utakazozikuta ndani ndo whatsapp status za contacts wako, unaweza zicopy na kwenda paste kwingine ili uzisave kwenye simu yako ama unaweza zifuta.