Ni majuzi majuzi tu laptop yangu ya Lenovo iliyomudu kukaa kwa miaka minne ilianza kunizingua vitu kibao na hivyo kunipelekea kufanya maamuzi ya kununua laptop mpya(R.I.P my lenovo T420 2012 -2017...
Habari wana jf? Nimekuwa nikijifunza utengenezaj wa matangazo aina ya graphic na cover photo na nikiwa naitaji zaidi mbinu na ubunifu mwingi kama ww ni miongoni mwao unaweza kunisaidia ama...
Habari za wakti,
Wakuu kwa wale waliokuwa hawajafurahishwa na mabadiliko ya WhatsApp Inc. kuleta Status za video kilio kimesikika, WhatsApp wamerudisha text only status na wamefanya maboresho...
salama wakuu? mimi nina logo yangu ambayo nili i design kwenye adobe illustrator nkaiprint kwenye plain paper. napenda kufaham sehem hapa dar ambayo nitaweza kuiprint hii design into tshirts na...
SIM ZA TECNO ZINA MATATIZO BALAA
Kama ulishawahi tumia smart za tecno lazima ulishawahi kutana na moja au yote matatizo yafuatayo .na utakuja kugundua utofauti kama nawe kwa sasa unatumia smart...
Habari za muda huu wakuu! Naomba msaada na ushauri juu ya Software nzuri zaidi ambayo ni user friend pia ya ku-recover picha zilizokuwa deleted ama zilizopotea baada ya ku-reset simu.
Ukitupia na...
Wakuu naomba kufahamu kwanza,,mimi natumia simu inayosupport line ya voda tu,,sasa je nikitumia ile huduma ya kuhama namba bila kubadilisha line,,je simu hii itaweza kuendelea kusupport huo...
jamani nilikuwa naomba kuuliza kwa wataalamu wa haya masuala na yeyote mwenye ujuzi kwamba inawezekana kuhama kimfumo kutoka kwenye simu inayotumia android kuibadilisha iwe inatumia windows phone...
Nataka kwenda kuweka window sielewi nikaseme vipi kwa fundi mwenye uwelewa a nisaidie Hapa.. Natumia window 7 aina ni Dell.. Ila Naona hafanyi Kaz Sawa
Walaghai(hacker) kutishia kufuta mamilioni ya akaunti iCloud kama Apple haita lipa pesa kufikia 7 Aprili 2017.
ina semekana kuna taarifa zimeripotiwa kuwa wanadai kiasi cha dola za...
Habari zenu wakuu jamani najaribu ku update simu yangu lakini nakutana na ujumbe huo hapo chini na simu yenyewe ni second hand hivo sijui modifications gani zilifanyika
Imepita miaka 17 toka kampuni ya NOKIA itoe simu yao model ya 3310, mtaani ilifahamika kama NOKIA jeneza, hahahaaaa.
Nilipitia siku za nyuma nikakutana na new model ya toleo la Nokia jeneza, hii...
Jamani mm naongea kutoka moyoni kabisa nilitokea kuipenda iphone ikiwa mm ni bingwa wa simu za android kwakweli nilitamani niiludishe alafu nipewe simu yeyote ata tecno powa simu yangu ilikuwa...
Habari zenu wakuu.
naomba kufahamishwa ni wapi ndani ya jiji la dar es salaam nitapata fundi wa uhakika anaeweza kuflash tablet za android hasa chinese tablets.
Asanteni.
Habari zenu wanaJF,
Kwa heshima na taadhima, naomba mfungue hiyo attachment/clip ikionesha LAPTOP yangu HP 620 namna inavyo behave.
Naomba mnisaidie namna ya kutibu tatizo hilo, na ikiwezekana...
Habari wadau!
Mimi ni mtaalam mbobezi katika masuala ya IT;
Katika hali ambayo wengi hamuijui leo naomba kuwajuza!
"Kuna akaunti nyingi sana nimezichunguza kwa utaalam wangu kuhusu mambo haya...