Habari wadau!
Mimi ni mtaalam mbobezi katika masuala ya IT;
Katika hali ambayo wengi hamuijui leo naomba kuwajuza!
"Kuna akaunti nyingi sana nimezichunguza kwa utaalam wangu kuhusu mambo haya, hizi akaunti feki za viongozi na watu maarufu mbalimbali zipo ACTIVE na wanazitumia wao wenyewe wahusika na wala siyo watu baki kama inavyo aminishwa( sitataja majina yao). Na ndiyo maana hazifutwi na Zinaendelea kuwa ACTIVE!
Tunaposema "Akaunti" ukiachilia mbali (akaunti ya malipo/payment account) kwenye tasnia ya mawasiliano/habari za kimtandao maana yake "ni zile taarifa binafsi za kielectroniki unazoweka na kukupa utambulisho maalum"
Wengine husema Kwa kiingereza ni "The individuals domains or email address you use to log in to your Payza account ... A primary email address is also sometimes referred to as an "account id"..
USAHIHI WA AKAUNTI
Kitaalam mtandao au seva hazitambui kitu kinachoitwa " AKAUNTI FEKI"..akaunti zote zinazojazwa Kwa usahihi na kukubaliwa na ile programming iliyowekwa kwenye tovuti; akaunti zote kitaalamu tunazitambua kuwa ni sahihi kwa kuwa seva imezikubali! Vinginevyo akaunti feki huwa haisajiliwi Kwa kukosa baadhi ya taarifa mhimu!
KWANINI VIONGOZI WANATAJWA SANA KUWA NA " AKAUNTI FEKI"
Kama nilivyoeleza hapo juu, akaunti inapokuwa imekizi domain zote husajiliwa; sasa Kwa hawa viongozi Wa Leo, sababu zifuatazo huwalazimu kuwa na akaunti wanazoziita "akaunti feki"
1. Kutafta umaarufu (kiki).
2. Kufikisha ujumbe usiorasmi Kwa hadhira Kwa ajili ya kupima upepo au muitikio.
3. Kumsema MTU au kundi Fulani pasipo uhalali Wa kuhusika.
4. Kutumia kufikishia hoja zilizo chini ya kiwango cha mhusika Mwenyewe.n.k
Akaunti hizi feki hazifutwi na wala wahusika hawajapeleka mashitaka yao sehemu husika ili hatua zichukuliwe, jiulizeni ni kwanini? Kwanini mtu ambaye anafahamu kwamba kuna akaunti feki ya jina lake asiende kuripoti TCRA au mamlaka zingine? Kwanini?
Hapo ndipo mtakubaliana na Mimi hizo akaunti zipo ACTIVE Kwa watu haohao ACTIVE.
Note; hili siyo kwamba lipo Kwa watu wote lakini walio wengi wenye ANKAUNTI FEKI ni zao wenyewe!
Source!
Mdukuzi Mimi mwenyewe.
NAKARIBISHA MASWALI