vicentkisenya
Member
- Nov 11, 2015
- 25
- 5
NA nimejaribu kuweka Vga cable ili ni display kwenye anaza monitor imegoma plz nisaidien nn tatizo
Cheza na registry file au tumia password recover au piga chini hio os au boot na cd au flash ya os!!Mie laptop yangu haikubali password na INA andika user profile cannot be loaded
Hata yangu ilikuwa hivyo baada ya kushauriwa nifute vumbi kwenye RAM,kwa sasa ina displayNA nimejaribu kuweka Vga cable ili ni display kwenye anaza monitor imegoma plz nisaidien nn tatizo